Muonekano wa mahabusu aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa Sierra Leone baada ya kupigwa risasi.
Wananchi na Askari wakiwa eneo la tukio.
MAHABUSU
aliyekuwa anatuhumiwa kubeba madawa ya kulevya, Abdul Koroma raia wa
Sierra Leone ameuawa kwa kupigwa risasi na Askari Magereza wakati
akijaribu kutoroka katika eneo la Mahakama ya Kisutu jijini Dar leo!



0 comments:
Post a Comment