
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa
Zanzibar (PBZ) Juma Amour Mohamed akikata utepe kama ishara ya
kukabidhi mabasi matatu kwa Meneja wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege
Zanzibar Bi Zaina Ibrahim Mwalukuta (kushoto) yaliyotolewa na Benki
hiyo kwa ajili ya kuchukulia abiria katika Kiwanja cha Ndege cha
Kimataifa cha Abeid Amani Karume yenye thamani ya shilingi za Kitanzania
Mia Tatu na Ishirini Millioni,(kulia) Mkurugenzi Masoko wa PBZ Seif Suleiman,[Na Mpiga Picha Maalum)

Miongoni mwa Mabasi yaliyotolewa na
Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) likiwa tayari limeanza kazi kazi ya
kubeba abiria wanaokwenda kupanda ndege katika Kiwanja cha Kimataifa cha
Abeid Amani Karume Kama inavyoonekana Pichani,[Na Mpiga Picha Maalum.]
0 comments:
Post a Comment