Maandamano ya kuadhilishi Siku aliyozaliwa Mtume Muhammad
(S.A.W) wakipita katika barabara ya michezani kuelekea katika viwanja
vya mnazi mmoja kusherehekea kwa kuzaliwac Mtume, Maandamano hayo ya
Zafa yameazia katika Mskiti Mkuu wa Ijumaa Muembesauri Unguja na
kumalizikiav katika viwanja vya mnazimmoja nas kupokelewa na Jaji Mkuu
wa Zanzibar Shekh. Omar Othman Makungu.
Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakiwa katika maandamano ya Zafa
kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad(S.A.W) Wakipita katika mitaa ya
michezani na kuelekea katika viwanja vya mnazimmoja.
Wazazi wakiwa na Watoto wao katika maandamano ya kuadhimishi siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad.
Maandamano ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume yaliowashirikisha
Wanavyuoni mbalimbali vilioko Unguja wakiwa katika maandamano
hayo.kuelekea mnazimmoja kuadhimisha siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad
(S.A.W)
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika maandamano ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W)
Wanafunzi wa Madrasa wakisherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad kwa Dufu
wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya mnazimmoja
Unguja. kuadhimisha siku hiyo tukufu.
Wanafunzi wa Madrasa mbalimbali wakishiriki katika maandamano ya Zafa ya
kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtumu (S.A.W) katika viwanja vya mnazi mmoja
Unguja.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Shekh, Omar Othman Makungu akipokea
maandamano maalum ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtume Muhammada(S.A.W),
katika viwanja vya mnazi mmoja Zanzibar.
Waumini wa Dini ya Kiislamu Zanzibar wakisherehekea Kuzaliwa kwa Mtume
Muhammad (S.A.W) kwa maandamano yalioazia Masjid Mushawar Muembeshauri
Zanzibar na kumalizikia katika viwanja vya Mnazi Mmoja na kupokelewa na
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu.
0 comments:
Post a Comment