Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanada na Masoko katika kikao cha utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa robo tatu ya mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] |
chanzo:->>> HAPA<<<
0 comments:
Post a Comment