
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi Bara bara ya pili ya Amani hadi
Mtoni baada ya kukamilika awamu ya mwisho ikiwa ni shamra shamra za
maadhimisho ya kutimia miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Kulia ya Balozi Seif ni Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mh. Juma Duni Haji na Naibu Wake Mh. Issa Ussi Gavu.

Balozi Seif akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa bara bara ya amani – Mtoni akishindikizwa na Waziri wa
Miundombinu na Mawasiliano Mh. Juma Duni Haji kuilia yake na Naibu
Waziri wa Wizara Hiyo Mh. Issa Ussi. Na kushoto ya Balozi ni Afisa
Uhusiano wa Wizara hiyo Nafisa Madai.

Balozi Seif na Uongozi wa Wizara ya
Maiundo mbinu na Mawasiliano wakikagua kwa miguu na baadaye magari bara
bara ya Mtoni hadi Amani.

Baadhi ya watendaji wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa bara ara ya Mtoni Amani hapo uwanja wa Gara gara Mtoni Kidatu.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.
0 comments:
Post a Comment