PINDA AKUTANA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na balozi wa Kuwait nchini, Mhe Jaseem Al Najem kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu) 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na balozi wa Kuwait nchini, Mhe. Jaseem Al Najem, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 9, 2015. Katikati ni Ofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Batholomeo Jungu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) pin3 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana  na balozi wa Kuwait nchini mara baada ya kufanya mazungumzo naye wakati alipokutana naye ofisini kwake jijini Dar es salaam leo.
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment