NHIF MOROGORO YAADHIMISHA WIKI YA WANAWAKE KWA KUTEMBELEA KITUO CHA WATOTO YATIMA MKOANI MOROGORO

Katika kuadhimisha wiki hiyo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ulitembelea kituo cha watoto yatima cha Aldee Musleem Chidren Centre cha Morogoro , na kugawa vitu mbalimbali ili kukidhi mahitaji ya kituo hicho vikiwemo vyandarua, vyakula na vifaa vya shule kama anavyoonekana Kiongozi wa msafara wa wafanyakazi wa NHIF Bi. Rose Ongara akikabidhi zawadi hizo kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho Bwana Rajabu Shomari. ha2 
Baadhi ya watoto wa kituo hicho wakikabidhiwa zawadi hizo na kiongozi wa msafara kutoka NHIF Bi Rose Ongara pamoja na wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Morogoro. ha3 
Bi.Rose Ongara akifurahi na watoto wa kituo hicho wakati akikabidhi zawadi hizo.
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment