vada Legislature – 6 hours ago MAFUNZO YA AWALI YA UASKARI MAGEREZA KOZI NA. 27 YAENDELEA VYEMA CHUO KIWIRA, MBEYA

1
Askari Wanafunzi(Recruits) wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza Kozi Na. 27 wakiendelea na masomo kwa vitendo katika Gwaride la silaha kama wanavyoonekana kikakamavu wakiwa na Walimu wao uwanjani huku silaha zao zikiwa begani.4
Askari Wanafunzi wa Mafunzo ya Awali ya Uaskari Magereza wakiendelea na masomo ya Darasani. Katika Mafunzo hayo hujifunza masomo mbalimbali ikiwemo Utawala na Uendeshaji wa Magereza, Sheria zinazoongoza Jeshi la Magereza, Ustawi wa Jamii, Afya, Uraia na Utawala na Uongozi
(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza)
Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment