
Hatimaye shughli za ujenzi wa ukuta wa mpaka wa Kenya na Somali umeanzishwa rasmi hii leo katika eneo la Kiunga kaunti ya Lamu.
Ujenzi huo umeanzishwa rasmi na kushuhudiwa na kamishna mkuu wa lamu Fredrick Ndambuki.
Aidha Ndambuki amesema kuwa madhumuni ya ujenzi huo ni kulinda
usalama na kuthibiti mashambulizi yanayo tekelezwa na kundi la
wapiganaji la Al-shabaab.
Hatahivyo ameonyesha matumaini ya kuwepo amani na usalama katika taifa la Kenya.
0 comments:
Post a Comment