WATANZANIA 18 WAREJEA KUTOKA YEMEN HAKUKALIKI KEA VITU

Balozi wa Tanzania nchini Oman Mh. Ali Ahmed Saleh (aliyebeba mtoto) akiwa na baadhi ya kundi la Watanzania 18 waliookolewa kutoka Yemen ambako hakukaliki kutokana na vita. Hapa wananchi hao  wapo  katika uwanja wa ndege wa Muscat wakiwa njiani kurejeshwa nyumbani.

Next PostNewer Post Previous PostOlder Post Home

0 comments:

Post a Comment