Waandishi wakifuatilia mafunzo ya njia ya mtandao kuhabarisha Wananchi habari za Udhalilishaji kijinsi GBV, wakimsikiliza mkufunzi akitowa mada ya ufuguaji wa mtandao, mafunzo hato yanafanyika katika Ofisi za Tamwa Mombasa Zanzibar. |
Mambo ya Mtandao hayo kwa waandishi. |
Mratibu wa Mafunzo ya Uandishi wa habari za Uchunguzi wa Udhalilishwaji Wanawake Kijinsia Zanzibar B. Sofia Ngalapi akitowa maelekezo kwa Washiriki wa mafunzo hayo, yalioandaliwa na TAMWA Zanzibar chini ya ufadhili wa TMF,yaliyowashirikisha waandishi wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar. |
Waandishi wakifundishwa kufungua Blogs kwa ajili ya kutumia mtandao huo wa Kijamii kuhabarisha Wananchi, kwa kuandika habari za udhalilishaji wa Wanawake na Watoto Zanzibar. mafunzo hayo yamefanyika Ofisi za TAMWA Zanzibar. |
Waandishi wakiwa katika mafunzo kwa vitendo kama anavyoonekanacMwandishi wa Gazeti la Habari Leo Khatib Suleiman akifungua mtandaoo wa Blogs wakati wa mafunzo hayo ya uandishi wa habari za uchunguzi. |
Mambo ya Mafunzo ya Mtandao kwa Waandishi wa habari za uchunguzi Zanzibar. |
Mwandishi wa habari wa gazeti la Daily News, Issa Yussuf akiwa bizz na mtandao akiwa katika mafunzo hayo katika Ofisi za TAMWA Zanzibar. |
0 comments:
Post a Comment