Mjumbe Mstaafu wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Mhe Awadh Ali Said,
akizungumza katika Kongamano la Kuzungumzia Rasimu ya Katiba,
akizungumzia katika kongamano hilo muundo wa uliowakilishwa na tume
kuhusu serekali tatu, lililofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani
Zanzibar.
Wananchi wakifuatilia Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa
Salama Bwawani, wakimsikiliza mtoa mada akiwasilisha mada yake.
Wakifuatilia Mada iliokuwa ikiwasilishwa na Mhe Awadh Ali Said wakati
wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbib wa hoteli ya Bwawani
Zanzibar.
Aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba ya Tanzania Mhe.
Mohammed Yussuf Mshamba, akitowa mada katika Kongamano hilo, kuhusiana
na Marekebisho ya 10 ya Katiba ya Zanzibar
0 comments:
Post a Comment