kufuatia kuungakuwa kwa kituo cha kurushia matangazo na habari cha kiilslam zanzibar, alnour fm 93.3 zanzibar na kupata hasara isiyopungua milioni 80-100 pia mmoja wa watangazaji wao akiawa amevunjika mguu bado anaendelea na matibabu katika hospital kuu ya zanzibar. kutokana na hasara hio kituo hicho kimesitisha huduma. shime juu yetu waslamu kwa kukiendeleza kituo hicho kwa kukichangia kwa hali na mali.
unaweza kuchangia kwa namba ziguatazo:-
Exim bank.tzs:- 0390470007
Exim bank $ :- 0390470073
Tigo pesa :- 0653 000000
Ezy pesa :- 0772939393
http://www.radioalnoor.com/
http://alnoorcharity.org/donate/
www.alnoorcharity.org
unaweza kuwasiliana nao
+255777414141 au Email:- info@alnoorcharity.com
0 comments:
Post a Comment